Do you need to improve Swahili? StratApp-The Art of Reading minigames can help you out! Complete the levels and collect all the badges. Try your reading and understanding. Learn new vocabulary. Show your skill and speed. The feedback will teach you strategies to become an efficient reader. Games in StratApp-The Art of Reading will help you improve your reading comprehension while you have fun.
StratApp is a KA203 European project for teaching reading strategies. The Art of Reading (Swahili) is the first app to be released to improve reading comprehension in Swahili. It has been developed by Alicia Ndegwa (Kenya), Mar Gutiérrez-Colón & Esther Torres (Spain) and Amistad c.o. (Poland). The development of this app has been possible thank you to the Center of Cooperation and Development of the University Rovira i Virgili.
Je, unahitaji kuimarisha Kiswahili chako? StratApp – The Art of Reading wa michezo midogo midogo utakusaidia! Kamilisha viwanjo hivyo na kusanya beji. Zingatia usomaji na ufahamu wako na mazoezi ya lugha. Michezo katika StratApp – The Art of Reading itakusaiidia kuimarisha ufahamu huku ukifurahia.
StratApp KA203 ni mradi wa Uropa wa kufunza mbinu za usomaji. The Art of Reading ndiyo programu ya kwanza kutolewa ili kuimarisha ufahamu wa Kiswahili imebuniwa na Alicia Ndegwa (Kenya), Mar Gutiérrez-Colón & Esther Torres (Hispaina) and Amistad c.o. (Polandi). Maendeleo ya StratApp yame wezekana kupitia katika kituo cha ushirikiano na uendelezaji katika Chuo kikuu cha Rovira i Virgili.